Chanda Chema EP 2024

Habari yako mdau wa Mziki,nataria kuachia EP yangu mpya kabisa yenye Nyimbo zenye jumbe nzuri na maudhui ya kupendwa na kila Rika ..
Kikubwa muendelee kunishika mkono kijana wenu ili kukuza Mziki wangu Kaa tayari ifikapo mwezi April Tuna jambo letu just Save Date April April April.....here we Goo...!...

Leave your comment