LYRICS BARID - JAY MELODY

 

Linabana lina tight sijawahi pata penzi la hivi.

hii KITU kutoka Sio rahisi

hata kuzama pia sio rahisi

nahisi nimekolezana

kweli hivi sio kawaida maana wewe

unaachia mwanya umeniteka umenivaa

oooh......

Download Baridi By Jay Melody For Free On Mdundo

 

Ndoto zangu toka zamani kupata Mtu

kama weeee nilale lale kifuani kichwani anitawale

ndoto zangu toka zamani nipate

MTU Kama wew atae nipa burudani

HIVI....

(oooh babe

hunnie

naskia baridi mimi) *4

....................................... oye oyoyoyo

nahapa nilipo nipo kilelen

Kama Kilimanjaro napenda unavyonipa vitu laini

nachizika na ulipo nayo

me kuwa nawe naskia Raha

kukupata naskia Raha .....

siunajua unavyo nikuna

usiniache nitakesha bar

aaaaaaaaaah

Download Jay Melody Music For Free on Mdundo

ndoto zangu toka zamani nipate MTU Kama wew nilale lale kifuani kichwani anitawale ......

ndoto zangu toka zamani nipate MTU Kama wew atae nipa burudani mmmmmh

HIVI.....

ooh babe ......aaah

hunnie ....eeeh

naskia baridi mimi

( .oooooh babe

............. hunnie

naskia baridi mimi )*2

uuuuh laah.....

Leave your comment