Sambaza Shangwe, Gusa Maisha! Mdundo na Vodacom Wazindua Kampeni ya Sikukuu 2023

[Image Source: Instagram]

Writer: Branice Nafula

Sambaza Shangwe na Mdundo Kwa Kupakua Mixes Kali Hapa Msimu huu wa Sikukuu

Kampeni ya Sikukuu ya Mdundo/Vodacom, inayojulikana kama "Sambaza Shangwe!Gusa Maisha", ni ushirikiano wa kuvutia kati ya Mdundo na Vodacom, ukilenga kuleta furaha na burudani kwa watumiaji wao wakati wa msimu wa sikukuu. Kuanzia leo hadi mwezi wa Februari, wapenzi wa muziki na wateja wa Vodacom wanakaribishwa kushiriki na kujishindia zawadi za kuvutia.

Jukwaa la Mdundo, ambalo linajulikana kwa kutoa upatikanaji wa muziki wa Kiafrika na kimataifa, linashirikiana na Vodacom, kampuni inayotoa huduma za mawasiliano kwa ubora. Lengo lao ni kutoa uzoefu wa kipekee wa muziki na kutoa zawadi za thamani kwa watumiaji wao wakati huu wa sikukuu.

Watumiaji wanaweza kushiriki kwenye kampeni hii kwa njia rahisi kwa kusubscribe na kupakua mixes za muziki zilizopo kwenye Mdundo. Kila hatua ya ushiriki itawapeleka karibu zaidi na nafasi ya kuingia kwenye droo na kujishindia zawadi za kusisimua. Zawadi hizo ni pamoja na simu za mkononi, headsets, t-shirts, na zawadi nyingine nyingi zenye thamani.

Hii ni fursa kubwa kwa wapenzi wa muziki na wateja wa Vodacom kufurahia burudani na pia kuongeza nafasi zao za kushinda zawadi nono. Kwa hiyo, kila wakati unaposikiliza mixes kwenye Mdundo na kununua bando la Vodacom, unajiongezea nafasi ya kufurahia sikukuu hii kwa njia ya kipekee na kujishindia zawadi nzuri. Sambaza shangwe na ushinde katika Kampeni ya Sikukuu ya Mdundo/Voda!

Fuatilia kampeni hii kwenye mitandao yetu ya Kijamii ili kushinda zawadi kemkem:
Mdundomusic Tz
Vodacomtanzania

Leave your comment

Top stories