KHALIGRAPH JONES AWAAMSHA WASANII WA TANZANIA

Mziki wa Bongo Fleva ni kama ulikuwa unapotea taratibu kwasababu ya utambulisho wa mziki wa Amapiano. Wasanii wa HipHop na Rap wa Tanzania nao waliingia kwenye mtego wa AMAPIANO. Ila kauli ya Khaligraph Jones a.k.a OMOLLO umeaamsha wasanii wengi ambao wameanza kumjibu kwa kutoa diss track.Mfano Rosa Ree na Track ya Mama Omollo, Songa, Chindo na wengine wengi ni baadhi ya wasanii ambao walikuwa kimya ila wameibuka baada ya Mr Omollo kuwakanda.

Tunahitaji hizi changamoto ili kuamsha game ya muziki wa Bongo na ule wa Genge.Ila ni vema hizi challange zikawa in a positive way. Wasanii wachanane kiustarabu.

Leave your comment