Pakua Mixes Tano Kali Za RJ The DJ Ndani Ya Mdundo

[Picha: Mdundo.com]

Subscribe Hapa: https://mdundo.ws/edu_tz

Romeo George, ambaye anajulikana kitaalamu kama "RJ The DJ", amekuwa akiwaburudisha watu kwa takriban miongo miwili.

Huku tukishabikia kazi zake nzuri na uwezo wake wa kisanii. Rj The Dj ni mwansanturi anayekubalika sana Afrika kama  Dj wa Diamond Platnumz pia anajulikana kwa kazi zake za uigizaji.

Hivi sisi tunakupea fursa ya kupakua baadhi ya  DJ Mixes alizotengeza ndani ya Mdundo.  

Afro – Bongo Fire Mix _ Marioo,Rema

Furuhia mziki mzuri unaowaleta pamoja wasanii tajika barani Afrika. Hawa ni wakubwa bongo fleva na hata wale wa Afrobeat wakiwa ni Marioo na Rema Miongoni mwa wengine.Ipakue hapa!

Bongo Explosion Mix _Jay Melody, Nandy

Hii ni mix inayoonyesha ubabe wa Bongo fleva huku Jay Melody na Nandy wakihusisha humu.Ipakue hapa upate kufurahia Bongo Explosion ndani ya Mdundo.

Afro-Bongo Best Hits Mix 2023
Karibu uskize mix hii kali itakayo kupea fursa ya kufurahia mziki mzuri wa Afrika kwa urahisi. Ipakue Afrobongo Best hits hapa ndani ya Mdundo.

Afro Bongo Reloaded ft. Rema, Alikiba, Diamond, nandy 2023 Mix

Afrobongo reload inawaleta pamoja wasanii wakubwa Afrika kama vile Rema, Alikiba , Nandy na wengineo. Pakua hapa.

 

Amapiano Bomba Mix Ya RJ The DJ

Mziki wa Amapiano kwa sasa unandelea kikita mizizi Afrika mashariki. Katika mix hii tunaona ukubwa wa mziki huu





Leave your comment