Thamani Zaidi, Bei Ile Ile: Mixes 5 Kali za Afro-Bongo, Afro-Beat Za Kupakua Wiki Hii

[Picha: Mdundo.com]

Subscribe Hapa: https://mdundo.ws/edu_tz

Mdundo ni jukwaa la usambazaji wa muziki mtandaoni ambalo hutoa safu nyingi za muziki wa Kiafrika, ikijumuisha mchanganyiko maarufu wa Afro-Beat na Afro-Bongo.

Ikiwa na mkusanyiko mkubwa wa nyimbo na mixes kaliza mziki kutoka kwa wasanii mashuhuri na wanaochipukia, Mdundo huwapa watumiaji uzoefu wa muziki wa kina. Hii pia hukufanya ufurahie mixes ndefu kwa bei sawa huku ukipata thamani zaidi.

Iwe wewe ni shabiki wa Alikiba, Chike, Joeboy, Marioo, Nandy,Christina Shusho miongoni mwa wengine, Mdundo inatoa jukwaa la kuchunguza na kupakua ubunifu wao bora wa Afro-Beat na Afro-Bongo.

New Week DJ Mix - Rema, Johnny Drille- https://mdundo.com/song/2496149

Afrobeats Ghana Mix - Lasmid, King Promise, Strongman -https://mdundo.com/song/2496939

Afro Rap Mix - Blaqbonez, Shallipopi, Zlatan- https://mdundo.com/song/2496347

Naija Worship DJ Mix - Sunmisola, Ebuka Songs, Mercy Chinwo- https://mdundo.com/song/2495630

Singeli Kali _ Balaa MC, Kayumba Mix- https://mdundo.com/song/2493042

Subscribe Hapa: https://mdundo.ws/edu_tz

Pakua Afro-Bongo Mixes Ndani Ya Mdundo

1. Bongo Love Mix

Hii ni mix Kali inayowaleta pamoja wasanii tajika wa Bongo Billnass, Mabantu na Wengineo. Ipakue hapa ndani ya Mdundo na ujiburudishe.

2. Bongo Explosion Mix

Bongo Explosion Mix ina uzuri wa wasanii wakubwa wa Bongo kama vile Jay Melody na Nandy. Mix hii inakupa fursa ya kuskiza mziki mzuri wa mapenzi kwa kipekee ulioandaliwa na RJ The DJ.

3. Taarab Moto Mix

Katika kuendeleza mziki taratibu wa Ushairi mkubwa wa wasanii Fatuma Nyoro na Kitaa Records. Furahia mix hii ya Taarab moto.

Leave your comment