Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Harmonize wa Konde Gang Aungana na Chris Melodies “ZANZIBAR”
15 May 2023

[Picha: Instagram]
Mwandishi-Charles Maganga
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
Baada ya kudokeza na kusubirisha mashabiki kwa muda refu hatimaye CEO wa Konde Gang, Harmonize ameachia ngoma yake ya “Zanzibar” akiwa na Bruce Melodies.
Kabla ya kuachia ngoma hii, Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti amekuwa akidokeza kuhusu ujio wa wimbo huu. “Zanzibar” ni ngoma ya tatu kutoka kwa Harmonize kwa mwaka huu baada ya hapo awali kuachia “Single Again” na “Wamelowa”
Kwenye “Zanzibar” Harmonize anaeleza uzuri na mambo mazuri yanayopatikana Zanzibar huku akiwa anamuahidi mpenzi wake kuwa wakiwa likizo wataenda kwa ajili ya kula raha visiwani humo.
Bruce Melodie ambaye ameshirikishwa kwenye ngoma hii ni msanii kutokea nchini Rwanda ambaye anatamba na ngoma kama “Katerina” “Funga Macho” pamoja na “Selebura”
Quick Links
Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3
DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3
DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3
DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3
DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3
DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3
DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3
Weekly Top 10 songs

Kamwambie3:47
chile-one-so-lucky4:02
Joy Is Coming3:08
TUMWAMBIE MUNGU ASANTE0:49
Malaika2:49
NALOKINGA2:52
Stima - Buruklyn Boyz5:04
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Buwooma2:44
Alifata Hela3:53
Top stories
- Love
01 April
- My biography
02 April
- STREAM NEXARITO SONGS ON SPOTIFY
02 April
- Nobb challen
02 April


Leave your comment