Nyimbo Mpya Tanzania Wiki Hii Zinazfanya Vyema Kenya 

[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Kama uko nchini Kenya na unapenda muziki kutoka nchini Tanzani basi bila shaka makala hii ni kwa ajili kwani tumekuwekea orodha ya nyimbo kutoka Tanzania ambazo kwa wiki hii zinafanya vizuri nchini Kenya. 

Kutoka kwa wasaniu kama Zuchu, Harmonize, Rayvanny na wengineo hizi  hapa ni ngoma kutoka Tanzania ambazo zinafanya vizuri nchini Kenya kwenye mtandao wa Youtube kwa wiki hii: 

Utaniua - Zuchu 

Video ya Zuchu imeendelea kufanya vizuri kwa wiki hii na kuweka rekodi ya aina yake kwenye mtandao wa Youtube kwani siku 11 tu tangu kuachiwa kwake tayari imeshakusanya streams Milioni 4 

Amepotea - Mbosso 

Mbosso amerudi tena na “Amepotea” hadithi nzuri ya mapenzi ambayo ndani yake Mbosso bila shaka ameonesha ufundi alionao katika kusuka na kufuma ngoma za mapenzi.

Mwambieni - Rayvanny Ft Macvoice 

Mara zote Rayvanny na Macvoice wakiunganisha nguvu ni muziki mzuri tu hutengenezwa na “Mwambieni” kwa mara nyingine imethibitisha hilo kwani humu ndani utakutana na mashahiri mazuri ya Rayvanny na sauti mujarab ya Macvoice 

Nani - Zuchu

Kwenye “Nani” Zuchu alikuwa na lengo moja tu nalo ni kuburudisha mashabiki kwa kuwakumbusha enzi zile za utoto na kwa wiki hii ni moja kati ya ngoma kutoka zinazofanya vizuri nchini Kenya. 

Namficha - DJ Jozey & Harmonize 

“Namficha” ya kwake DJ Joozey na Harmonize ni ngoma ambayo haina mambo mengi na pengine hiyo ndo sababu mashabiki wameipokea kwa mikono miwili. Kufikia sasa, “Namficha” imeshakusanya views takriban laki 6 Youtube 

Quick Links

Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment