Whozu Aachia “VAVAYO” Video Akiwa na Marioo


[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3


Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania Whozu hivi karibuni ameachia video ya “Vavayo” ambayo mashabiki wengi wamekuwa wakiisubiri kwa hamu sana

Top Playlists: DJ D'Ommy Mixtapes, Luo Ohangla, Bongo HITS, Kalenjin HITS, Khaligraph vs. Nyashinski

Nyimbo Mpya: Ananipenda - Platform & Marioo 

Ngoma ya “Vavayo” iliachiwa mwezi Januari mwaka huu na tangu kutoka kwake, Amapiano hiyo umekuwa ni mkwaju pendwa hasa kwenye sherehe mbalimbali. 

Video ya “Vavayo” imetengenezwa na hadithi nzuri ambayo inamuonesha Whozu akiwa analalamika kutokan na mateso anayopata kutoka kwa watu wasiompenda. Aidha “Vavayo” imepambwa na dansi kali ambayo itakosha macho yako na kukufurahisha. 

Video ya wimbo huu umetayarishwa na Director Joowzey ambaye pia ameshiriki kuandaa video  kama “Mainda” ya Lody Music na “Hunitaki” ya kwake Barnaba akiwa na Mbosso

Quick Links

Daily Mixes

DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment