Lyrics: Jaivah X Marioo - SOUP (Official Video)Feat. Chino Kidd,Scotty London & Ks Hub

[Image: Screengrab/YouTube]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

Nilikuwa na wanangu akina Chino

Tumetoka batani (Eeeeh)

Nikawa na wanangu akina Papilon

Tunakula majani Eeeeh

 

Nilikuwa na wanangu akina posh

Tumechill maskani

Ile nipo na wanangu akina Bway

Ndio ikapita bebw fulani eeeh

 

Sina salio imewaka na show (show kali)

Sina kibunda bebe imetaka bye show show (show kali)

Sina salio imewaka na show (show kali)

Sina kibunda bebe imetaka bye show show (show kali)

 

Mbuzi kaanguka kwa muuza supu eeeh Alooo

Mmmmh soup soup soup Ayiiii

 

Niseme nisiseme (semaa)

Niseme nisiseme (sema)

Aaaah huyo mtoto ana

utamu kama asali mama

 

Eti Niseme nisiseme (semaa)

Niseme nisiseme (sema)

Aaaah huyo mtoto ana

utamu kama asali mama

 

Ayiiiii baddie

 

A Chino mwanaman

Poooosh

Papi papilon

Bway mwanaman

Mmmmh mmmh

 

Bathi shaya ingkma sasama ethaveni

Cleo Jaivaaah

Awee unjami man (eeeh)

Go away jelous man

Unaghlelo impumeleo yami

Stay away man

You better go rest man

 

Awe unjani man (enhee)

Go away jelous man (enhee)

 

Ungahleli impumelo yami

Stay away man

You better go rest man

 

Sikujua kama ulishamposa

Ulishamposa ulishamposa

Ningejua kama ulishamposa

 ulishamposa

Ulishamposa mi ningemtosa

 

Bei cheee bei cheee kumkoleza

Nilifanya bei chee

 

Bhuti lami we run this city

Everything we do is litty

Oya waiter leta kwanza champagne

 

Mbuzi kaanguka kwa muuza supu eeeh Alooo

Mmmmh soup soup soup Ayiiii

 

Niseme nisiseme (semaa)

Niseme nisiseme (sema)

Aaaah huyo mtoto ana

utamu kama asali mama

 

Eti Niseme nisiseme (semaa)

Niseme nisiseme (sema)

Aaaah huyo mtoto ana

utamu kama asali mama

https://www.youtube.com/watch?v=mH5kiWJWn_4

Leave your comment