Pakua Nyimbo Mpya: Rayvanny Aachia Ngoma Mpya 'One Day Yes'

[Img. Source: TrendyBeatz]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

Msanii nguli kutokea nchini Tanzania, Rayvanny kwa Mara nyingine ameamua kukonga hisia za mashabiki zakecna hii ni baada ya kuachia mkwaju mpya kabisa wa kuitwa “One Day Yes” 

Rayvanny ambaye ni mtanzania pekee ambaye ameshinda tuzo ya BET, ameachia ngoma hii ya “One Day Yes” ikiwa ni takriban mwezi mmoja yangu aachie ngoma yake ya “Forever”. Hii ni ngoma ya tatu kwa Rayvanny mwaka huu.

Kwenye “One Day Yes” Rayvanny anadokeza kuhusu maumivu anayopitia baada ya kuachwa huku akijipa matumaini kuwa kuna siku atapendwa inavyostahili. 

 

One Day Yes imetayarishwa na Sound Boy kutoka Tanzania ambaye ameshatayarisha ngoma kama Relate Ya Guchi, Raha Ya Kayumba, Forever Ya Rayvanny na Muongeze Ya Mac Voice. 

Leave your comment