Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Lody Music Aachia Forever Akiwa Na Nandy
28 February 2023

[Picha: Instagram]
Mwandishi: Charles Maganga
Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram
Uko kwenye mahusiano? Kama jibu ni ndio basi Lody Music, nyota huyu wa muziki wa Bongo Fleva amekuletea mkwaju wake mpya wa kuitwa Forever ambao amemshirikisha The African Princess, Nandy.
Kwenye tasnia ya muziki wa Tanzania ambapo kwa sasa ngoma za mapenzi zimetawala kila kona, Lody Music anaongeza utamu wa Bongo Fleva na Forever.
Hii ni ngoma ambayo Nandy na Lody Music kwa pamoja wanaonesha hisia zao mapenzi na kwa mtu yeyote ambaye ana mpenzi au yuko kwenye mahusiano, basi Forever ni kwa ajili yake.
Hii ni ngoma ya kwanza ya Lody Music kwa mwaka 2023 tangu aachie ngoma ya Nipigie Novemba 2022.
Weekly Top 10 songs

Inama4:58
ONLY YOU JESUS5:44
Bikyaganye3:29
Mshamba2:44
Daddy2:50
Sissa3:37
Come Alive3:32
Eazzy Ft Way Dee2:59
Alaska2:29
Deep House BLACK5:35
Top stories
- KACHUMBALI ARMY(Kiswahili)
08 October
- KACHUMBALI ARMY
08 October
- My incoming songs
09 October
- USINIACHE
09 October



Leave your comment