KYELA WASANII WAFUNGUKA.........

Kyela Mbeya Tanzania
Mwandishi:
@HiphopKwanzaTz

Wasanii Mkoani Mbeya Wilayani Kyela Walalamikia Media Zao Za Wilayani Humo Zimeshindwa Kusapoti Harakati Zao Za Mziki Bali Zimekuwa Zikichochea Kuweka Matabaka Baina Ya Wasanii Kwa Wasanii Pasipokuwa Na Ushirikiano Wa Pamoja Katika Kujenga Mziki Wao Huo Mchanga.
Kweli..! Media Zetu Hazipo Kusapoti Mziki Wetu Ila Zipo Kutujengea Matabaka Na Mipaka..
Nyimbo Zenyewe Wanapiga Mara Moja Kwa Week
Tuliweza Kukaa Na Uongozi Wa Kituo Cha Media Tulilijadili Hili Swala Kwa Mkurugenzi Wakatuahidi Watalifanyia Kazi Hili Jambo Lakini Alikufanyiwa Kazi...
Walitupa Asilimia 40% Ya Kupigwa Kwa Nyimbo Zetu Katika Vipindi Mbalimbali Lakini Juhudi Azikuzaa Matunda
Angalia...!! Mimi Ni Msanii Mchanga Na Sina Hata Management Unakuta Dj Au Presenter Ana Kwambia Anataka Pesa Na Tena Anataja Pesa Ambayo Anajua Uwezi Kumpa Anafanya Yote Hiyo Kuku komoa Na Kukukatisha Tamaa Ili Ushindwe..
Wana Wasanii Wao Ambayo Wanawapa AirTime Wanawapa Interview Ila Sisi Wengine Tunanyimwa Na Atupewi Hiyo Nafasi
Kiukweli Wabadilike Maana Mziki Ni Safari Ndefu Na Hatutoweza Kufika Kama Tunatengana Ya Nini Kugombea Fito Wakati Tunajenga Nyumba Moja
@KYELA FM
@KEIFO FM
Sote Sisi Ni Ndugu Kwa Pamoja Tusapoti Vipaji Vya Nyumbani Tuwape Nafasi Wanaweza…

Leave your comment