Lyrics: Ben Pol - Wewe

[Image Source: Instgaram]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

Kama anaona ni sawa anachofanya ni sawa

Siwezi kumforce siwezi kumlazimisha

Si ananiona mi boya anachofanya kunikomoa

Anajua nampenda ndo maana anipeleka puta

 

Moyoni mwangu natamani nikutoe

Natamani nisikupende tena wewe wewe

Maumivu yangu huyajali hata kidogo

Hivi una roho gani mbaya sana wewe wewe

 

Mi nataka kuwa na we kuwa na wewe tu

Ulonifanya kuwa nawe kuwa na wewe tu

Mi nataka kuwa na we kuwa na wewe tu

Ulonifanya kuwa nawe kuwa na wewe tu

 

Hivi alitaka nini kwangu Nikashinda kumpatia

Mbona mapenzi nilimpa na hata pesa nilimpa

Kumbe hana jema hana jema

Na inavyoonekana hata ningempa nini angenitema

 

Ulivyo mzuri mtu hawezi kudhani kama una roho mbaya wewe

Sura yako na matendo yako havifanani nawe

https://www.youtube.com/watch?v=1PtDJMuMWfA

Leave your comment