Lyrics: Justina Syokau - Twendi Twendi Thilii

[Image Source: Instagram]

Download the Best Kenyan Hits Mixes On Mdundo 

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mavuno,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapato,

Twendi Twendi Three

Positive energy, positive vibes, Mawowowooo

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mavuno,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapato,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa breaking through,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapatooo,

Twendi Twendi Thilii nitazaa matunda,

Mwaka huu kila mwezi nitavuna,

Buziness zangu zitainuka

Nitahesabu faida si hasara,

Twendi Twendi Thilii nitathibitishwa,

Nitapata Baraka Bila Kung'ang'ana Aiii,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mavuno,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii  I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapato,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa breaking through,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapatooo,

Mwaka wa devine speed, acceleration,

Overtaking power over your life in Jesus' Name,

Twendi Twendi Thilii I am overtaking,

Huu mwaka Level zinapanda,

Nitapanguzwa machozi ya mwaka jana,

Simu yangu itapokewa ripoti nzuri,

Uchumi wangu mwaka huu utainuka,

Nitapata pesa nitoke kwa madeni (Aiih),

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mavuno,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapato,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa breaking through,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa kupanuliwa,

Twendi Twendi Thilii I am taking over,

Twendi Twendi Thilii ni mwaka wa mapatooo,

(Kilio Chakoo) Kilio chako Mungu amekisikia,

(Kilio Chakoo) Kilio chako Mungu amekisikia,

(Machozi yako) Machozi yako Mungu ameyapanguza

(Machozi yako) Machozi yako Mungu ameyapanguza

Kusota kumeisha na njaa imeisha,

Madharau imeisha,

Kukopa kumeisha

Utatembea kwa nehema Twendi Twendi Thilii

Vigelegele kwa Yesu, Hallelujah,

Receive overtaking grace,

Receive acceleration power (YeeYah),

Twendi Twendi Thilii,

Natembea kwa nehema,

Twendi Twendi Thilii,

Natembea kwa nehema,

Aah Mkono wa Bwana,

Ooh Umenibeba,

Ooh Mkono wa Bwana,

Ooh Umenibeba,

Ooh Kila hatua,

Natembea kwa nehema,

Wapendwa kila hatua,

Natembea kwa nehema,

Maana mkono wa Bwana,

Ooh Umenibeba,

Maana mkono wa Bwana,

Ooh Umenibeba,

Mwaka huu sing'ang'ani,

Natembea kwa nehema,

Mwaka huu sing'ang'ani,

Natembea kwa nehema,

Maana mkono wa Mungu,

Ooh Umenibeba,

Maana mkono wa Mungu,

Ooh Umenibeba,

Twendi Twendi Three year of rest,

Utapumzishwa na Mungu mizigo mizito (Aii Wee)

Visenga unasema aje, prodyusee

Hiyo rhythm umeikamata vizuri Eeh,

Okaah, Katika (Yee Yah

Maadui waki catch feelings, uta catch flight Eeh (Aiih Weeh)

Twendi Twendi thilii siko site,

Niko available tufanye kazi,

Piga simu niko ready ku receive (Aaih),

Mawowowooo

https://www.youtube.com/watch?v=O3bxkdMpXuY

Leave your comment