Lyrics: Khaligraph (Og) Jones Ft. Mejja - 'Kamnyweso'

[Image Source: Screengrab]

Get Free Music Updates and Mixes on Telegram

(KHALIGRAPH JONES)

Wapi Kamnyweso,Wapi Kamnyweso

Wapi Kamnyweso,Wapi kamnyweso

Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva

Upende usipende huwezi avoid hawa manigga

Ukinipatia mboka sikuenjoi namaliza

Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah

Na mi no need to prove no point for de media

Go ahead and light a joint for this feature

Rada sikutafta coins ni mamita

Na peng ting ka si Wamboi ni Anita

Kanairo wamenibandika jina sonko

Kogalo massive hii ligi mi ndo nacontrol

Odi dance sitambui sijui azonto

Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo

Na kila nikichunisha debe wanaturn face

Utadhani wameona manjege au masanse

Niko zabe juu ya veve na machampez

Haters nawapea headache vile narun place

 

Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew

Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules

Tumeshika mtaaani kwa ghetto

Majengo hadi Soweto

Kanashika leo mpaka kesho

Mr Tumbler wapi kamnyweso

 

Wapi kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

Wapi Kamnyweso(Kamnyweso)

 

(OKWONKWO)

You didn't know Okonkwo can spit another lingo

And I make it look simple

Am a G in this shit just living it up

I got many flows let me switch it up

Umeshtuka mi sikai eh

Na kizungu aki walai

Ni mwisho wa mwezi najidai

Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai

Ndo sherehe tunapiga place ya nguvu

Mahali pombe inaserviwa na tunjugu

Aki ya nani leo nikishika mutu

My chik, ataenda kuku

Lamba chupa ukilamba mtu

Tupa lugha kamata mtu

Chuma nzuri hainanga kutu

I keep it one hundred

Me and OG we glowing this money

You know we run this streets

You know we killin this shit

Level up!

Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew

Kazi yetu ni kushinda nikiparty coz this my life and my rules

Tumeshika mtaaani kwa ghetto

Majengo hadi Soweto

Kanashika leo mpaka kesho

Mr Tumbler wapi kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Wapi kwamnyweso Kamnyweso

Nasema Leo form yetu kamnyweso eeeh

Na kama zimekushika basi weka yako juu

Nasema Leo form yetu kamnyweso eeh

Na kama zimubamba basi inua yako juu

https://www.youtube.com/watch?v=zToyD03NVmU

Leave your comment