Tusipangiane Lyrics by G Nako Featuring Rayvanny

Download FREE DJ Mixes on Mdundo.com

Chui, waraaa ooh nono ooh nono 
Tusipangiane Tusipangiane 
Una maisha yako nna maisha 
Yangu Tusipangiane 
Tusipangiane,tusipangiane 
Una life lako nina life langu tusipangiane 

Kwani wanateseka wakiwa wapi? 
Wanateseka wakiwa wapi 
Kwani wanateseka wakiwa wapi 
Wanateseka wakiwa wapi 

Tumeshaachana bwana weeh emb toka 
Maswali ya upo poa umekula umelala 
Kwani we ni doctor ? 
Tumeshabwagana bwana weeh we ondoka 
Maswala ya kunitisha utaona,utajuta we msoma nyota Ooh lolo loo 
Live your life as i live my life 
Basi pita kushoto live your life 

Unajifanya huoni eeeh? 
Inakuchoma unajikaza 
Unajifanya huoni eeh? 
Wakati ukisinzia unaniwaza 

Mnaonifatilia mtakufa presha 
Kila siku zinazidi pesa 
Wachawi tunapishana mi nimeshasepa 
Maana mkija kuwanga mi nipo nakesha 

Tusipangiane Tusipangiane 
Una maisha yako nna maisha 
Yangu Tusipangiane 
Tusipangiane,tusipangiane 
Una life lako nina life langu tusipangiane 

Kwani wanateseka wakiwa wapi? 
Wanateseka wakiwa wapi 
Kwani wanateseka wakiwa wapi 
Wanateseka wakiwa wapi
Eti kaniloga kanishika akili simuachi Kanipendea pesa wanga hiyo ndio hamtaki 

Haya mpe mama pesa,, pesaaa 
Mwongeze pesaaa, 
Mpe na gari, pesaaa 
Wakafe na preshaa,preshaaa 

Oyo oyo oyo oyo 
Na nikukuhonga nyumba je watakomaje? Maisha sio darasa na wewe sio mwalimu Watakupapasa utajikuta kuzimu 

Yaani wee google google, google Wajua kila kitu 
Fuko fuko fukunyunyu kila siku 

Tusipangiane Tusipangiane 
Una maisha yako nna maisha 
Yangu Tusipangiane 
Tusipangiane,tusipangiane 
Una life lako nina life langu tusipangiane 

Kwani wanateseka wakiwa wapi? Wanateseka wakiwa wapi 
Kwani wanateseka wakiwa wapi 
Wanateseka wakiwa wapi 

Live your life as i live my life 
Basi pita kushoto live your life 
Live your life as i live my life 
Basi pita kushoto live your life

Leave your comment