Lyrics: TheOnlyRosa ft. Bien - OnlyFans

[Image Source: Instagram]

Download FREE DJ Mixes on Mdundo

[Verse 1]

Hallooo

Niggas blowing up my phone

Usini holla kama huna form

Mnani choke mnanikaba koo

Hallooo

Nyiri be tinder wayudo Gina wadwaro

Weri gi jogi gidwa promisi soft life

Weri gi jogi matinde ni e online

Vijana wa Nairobi msiniletee ufala

Ndio maana mimi huwishingi hatungepatana

Ukinikata mara moja huwezi niita malaya

And you're telling everybody that this coochie is on fire

[Chorus]

Only fans

Penye nimefika nafungua only fans

Kama unanipenda tuma fare in advance

Penye imefika no romance with no finance

Only Fans

Yeah yeah

Only Fans

Penye imefika nafungua Only Fans

Kama unanipenda tuma fare in advance

Penye imefika no romance with no finance

Only Fans

Yeah yeah

 

[Verse 2]

Hallooo

Ladies blowing up my phone

Don't you call it baby

Aki Bien you are so form

Wakituna fare twakuja kwako

Woiyoo

Steady grinding all night long

Na sikuji kama si form ya doh

Itabidi uganje ndio tupige show

Ukisikia Sauti Sol ujue ni kubaya

Hii muziki ya Kenya twaipeleka ulaya

Na temperature inapanda warazi wanagwaya

Tutashinda ma grammy before tume retire mi seh

 

[Chorus]

Only Fans

Pahali imefika natambua Only fans

Kama ni kakitu me hutumia Only Fans

Pahali imefika nafanyia Only Fans

Only Fans

Yeah yeah

Only Fans

Pahali imefika natambua Only fans

Kama ni kakitu me hutumia Only Fans

Pahali imefika mi hutambua Only fans

Only Fans

Yeah yeah

https://www.youtube.com/watch?v=DjN-wWHqfh4

Leave your comment