Lyrics: Martha Mwaipaja - Adui

[Picha: Youtube]

Bonyeza Hapa kusubscribe na Kupakua DJ Mixes Maalum

ooh ooh ooh ooh

Ni vile adui hajui

Unavyosaidiwa na Mungu

Laiti angejua hakika

Asingekuwazia mabaya

Ni vile adui hajui

Unavyosadiwa na Mungu

Laiti angejua hakika,

Asingekupangia mabaya

Hajui vile

Mungu ni mwema aah

Ni vile adui hajui (hajui)

Unavyosaidiwa na Mungu (haelewi)

 

Laiti angejua hakika,

Asingekupangia mabaya

Ni vile adui haelewi

Ni vile adui hajatambua

Hajui jana ulivyosaidiwa

Hajui kule Mungu alikokutoa

Hajui maumivu aliyokuponya

hajui ni neema tu, iliyokutetea

hajui usingekua hapo ulipo

Adui hajui jana ulivyoyashinda

 

Ulipita kwenye misiba kakunyamazisha

Ulikosa chakula yeye akakulisha

hajui ndio maana anapanga mabaya

Hajui huyu yesu alikokutoa

Hajuuuiiii Mungu anavyokupenda

Haelewi alivyokutendea

Laiti angejua

Adui asingekupangia mabaya leo

Ni vile adui hajui (hajui)

Unavyosaidiwa na Mungu (Mungu ni mwema)

Laiti angejua hakika,

Asingekupangia mabaya

Anapanga mabaya adui

hajui tu, hajui

Ni vile adui hajui (Mungu ni mwema)

Unavyosaidiwa na Mungu (Unasaidiwa)

Laiti angejua hakika (asingeyapanga)

 

Asingekupangia mabaya

Hajui tunavyotetewa na Mungu

Ni vile adui hajui (Alivyo mwema)

Laiti angejua hakika (asinge)

Asingekupangia mabaya

Hajui tulivyo na Mungu wetu ooh

Ni vile adui hajui (hawezi tuwacha)

Unavyosaidiwa na Mungu (mbona sisi)

Laiti angejua hakika (angejua angejua)

Asingekupangia mabaya

ooh ooh ooh ooh

 

Mungu wetu anaishi

Yupo upande wetu daima

Asante Mungu wetu aha

Adui hakujua kabisa

Israeli wamewekwa na Mungu

Adui hakuelewa

Israeli wanapendwa na Mungu

Goliath alijigamba bila kujua

Goliath alitukana bila kuelewa

Hakujua Daudi ni nani

Hakujua Daudi ni nani

Laiti angejua

Asingetukana vile

Laiti angejua asingejigamba ah

Adui hajui mioyo yetu iko kwa Mungu

Haelewi (haha)

Tumaini letu ni Mungu tu

Adui hajatambua kabisa

Mkono wa Mungu si mfupi kwetu

Anapanga mabaya ni vile hajui

Mungu ni Mungu ashikaye maagano

Angejua asingepanga mbaya

Angeelwa asingewaza mabaya

Halleluyaa aah

Ni vile adui hajui (hajui)

Unavyosaidiwa na Mungu (haelewi)

Laiti angejua hakika (ndio maana)

Asingekupangia mabaya

Hajui nguvu yetu kwa Mungu

Haelewi kabisaa

Ni vile adui hajui (hajui)

Unavyosaidiwa na Mungu (tunatetewa)

Laiti angejua hakika (Asingeyapanga)

Asingekupangia mabaya

Hajui wapi Mungu kakutoa

Haelewi kabisa

Ni vile adui hajui (asingejisumbua)

Unavyosaidiwa na Mungu (asingewaza mabaya)

Laiti angejua hakika

Asingekupangia mabaya

https://www.youtube.com/watch?v=95xp9CA9wu4

Leave your comment