Mwanaume

Uandishi wa kiwango cha juu kabisa,Kutoka kwa Rapper anaechipukia anaitwa Many Jay.

Ni Rapper anaetamba na kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la Mwanaume.
Humo ndani amejaribu kuzungumzia sifa za Mwanaume wa kweli huku akitumia ushairi wa Levo za Juu sana. Ngoma kali sana itafute katika mitandao ya Muziki kwa kuandika tu Many Jay Mwanaume.

Leave your comment