Bri - Dough_feat.Je_xmg(official Audio)

Pesa ni kitu ambacho kinatafutwa kuendeleza maisha kujenga maisha na safari ya maisha isonge, lakini pasipo na Mungu bado pesa ni kitendawili. Sala na kazi huleta pesa na mimi nataka dough niweze shine erytime#GodBlessMe

Leave your comment