Miaka Miwili Sasa Tangu...

Nilianza kuandika huu wimbo takribani, miaka mbili yakaribia. Nasema hivyo kwa maana nakumbuka nikikutana na msaani Wa nyimbo za injili mwaka ambao corona ilikuwa yaanzaanza..
So, wimbo huu niliuita wacha nikupende, nikajaribu kuubadili uwe njoo wacha nikupende. Hapo napo urefu wa kichwa ukawa mrefu.
Wacha nikupende tena ! Hapo nishakujulisha kila kitu. Wacha nikupende naona ni bora , tu. Mungu alikusudia iundwe hivo.. Kwa sasa best title nimeamulia ni Unipende..

Leave your comment