Wimbo mpya

Habari njema kwa wale wote wapenzi wa muziki wa injili hapa tunamaanisha East Afrika kwa ujumla ni kwamba mda si mrefu kuanzia hivi sasa mtumishi wa MUNGU sefania Amos kutoka nchini Tanzania ataachia wimbo mpya ambapo ameomba watu ku SUBCRIBE YouTube channel yake ili wawe wa kwanza kupata kazi nzuri hiyo

Leave your comment