Nyimbo Mpya: Rayvanny Aachia ‘Happy Birthday’ [Video]

[Picha: Mtikiso Entertainment]

Mwandishi: Omondi Otieno

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Msanii tajika kutoka Tanzania Rayvanny ameachia video mpya kwa jina ‘Happy Birthday’.

Rayvanny aliachia video hiyo masaa machache baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na Gavana wa Kaunti Machakos Daktari Alfred Mutua kule Nairobi, Kenya.

Soma Pia: Nyimbo Mpya: Diamond Platnumz Aachia ‘Naanzaje’

Video hio imewashirikisha wasanii mashuhuru barani Afrika kama vile; Inoss’B, Mbosso, Jux, Bahati, Nadia Mukami, Guchi, Linah, Whozu, Dula Makabilla, S2kizzy na wengine wengi.

Kwenye mtandao wa YouTube, video hio inafanya vizuri kwani ishatazamwa mara zaidi ya elfu tisini masaa matatu baada ya kuachiwa.

https://www.youtube.com/watch?v=p7U_G7Zt7Ys

Leave your comment