TUNAPOTEZA UTAMBULISHO WA MZIKI WA KIAFRIKA

Kadri siku zinavyokwenda soko la mziki wa Africa linakuwa kwa kasi sana, Tunawasanii wanaotuwakilisha vizuri huko nje wanaotoka ukanda huu wa Afrika mashariki lakini maadili ya tungo zetu ni jambo ambalo limepuuziwa sana wasanii wanaimba sana matusi. Tunapoteza ualisia na ladha ya mziki wa kiafrika. Tunapaswa kuangalia tuliangukia wapi

Leave your comment