Bensoul Nairobi lyrics ft Mejja ,Nviiri the Storyteller & Sauti Sol[Free Download]

[Image Source :Bensoul Instagram]

SUUUDAAAAH

Habari mbaya zimenifikia
Mandugu zangu wananikulia
Kumbe sahani yangu ni sinia
Na inaniuma sana

Yule mpenzi niliaminia
Nikamueka mbele ya dunia
I must be trippin’ nikikurudia
Umenitesa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Marashi yako yalinivutia
Siku ya kwanza ulipopitia
Kumbe si mi pekee nilinusia
Yolanda ya lavender

Na mbogi yangu iliniambia
Eti nikusare but sikusikia
I don’ wanna do this sh*t no more my dear
Najuta kupendana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

Gonga, gonga like …

Rieng, rada
Siku hizi madame ni blanda
Jana cuzo alimkaza
His family, ah ah
Get together kwa bed
Hio story tumekataa
Maboy wengine blanda
Watakukulia mama
Na wakuchekeshe sana
Madame madame, eh
Madame wa siku hizi
Wana machali wengi
Nilichapa mmoja juzi
Ikaingia ndaaaaani, dive!

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana

Nairobi
Yule anakupea, pia ananipea
Akikuletea, ananiletea
Wanakula fare
Sote tunashare
Ogopa sana mama

https://www.youtube.com/watch?v=xKto54Ev9iM&list=PLnUFZ4sXj07gFmPL6C5UH5AxUAwJuwU7Q&index=23

Leave your comment