LYRICS: Alikiba - Ndombolo ft. Abdu Kiba, K2ga and Tommy Flavour (Download)

[Image Source: YouTube]

Aiayayayaya

Mamamama

Lelelelele

I say, mambo bado (Bado),

Kings iko Gado (Gado),

Cheza utakavyo, mashuti ka Ronaldo,

Wenye kulewa wako kwado Mziki uko kwao,

Najionanga komando, Konga sa ipo juu.

Chorus

Mi nachezaje ai ndobolo, Inama inuka ai ndombolo

Usivunje mgongo ai ndombolo, Dondo ai ndombolo

Dombolo ai ndombolo, Dombolo ya solo ai ndombolo.

Kwani we unachezaje, ai Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai).

-----------------------

Oh mama anacheza ndombolo,

Tena kainama nitatoka tomorrow,

Domo zito mi nababaja (mi nababaja)

Mimi nababaja, (mi nababaja)

Domo zito mi nababaja, (mi nababaja)

Mwenzenu mimi nababaja.

Chorus

We unachezaje, ai ndombolo, Inama inuka ai ndombolo

Usivunje mgongo ai ndombolo, Dondo ai ndombolo

Dombolo ai ndombolo, Dombolo ya solo ai ndombolo.

Kwani we unachezaje, Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai).

------------------

Baby you're my girl, oh baby you're my gal,

Baby nipe more, nishaonjeshwa nipe more.

Wanirusha roho, umeshinda umewhine.

Ukinipa huchoki, najiuliza wewe mtu ama mashine.

Chorus

We unachezaje, ai ndombolo, Inama inuka ai ndombolo

Usivunje mgongo ai ndombolo, Dondo ai ndombolo

Dombolo ai ndombolo, Dombolo ya solo ai ndombolo.

Kwani we unachezaje, Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai).

--------------------------------

Eeh wivu nayo, umenikaa nashika love,

Ah ukicheza na mwingine utanitoa roho.

Kukutema sitaki taki, wanninogesha.

Ah sitaki taki, waninogesha.

Kukupenda kindakindaki, waninogesha, 

Oh kindakindaki, waninigesha.

Oh, basi cheza kimadoido, oh kimadoido.

Biringe cheza kimadoido, oh kimadoido.

Basi nichezee kimadoido, ah kimadoido, 

Basi oh kimadoido, oh kimadoido

Chorus

Cheza ah, ai ndombolo, Inama inuka ai ndombolo

Usivunje mgongo ai ndombolo, Dondo ai ndombolo

Dombolo ai ndombolo, Dombolo ya solo ai ndombolo.

Kwani we unachezaje, Natamani, ai ndombolo (Hii ngoma hukai).

------------------

Nomo zite me nawawajah, nawawajah,

Mimi nawawajah, nawawajah

Nomo zite me nawawajah, nawawajah,

Waiah mimi nawawajah.

We unachezaje, ai ndombolo.

https://www.youtube.com/watch?v=UIAMVEcL_Bc&list=PLnUFZ4sXj07gFmPL6C5UH5AxUAwJuwU7Q&index=1

Leave your comment