Man Fongo Atangaza Mpango wa Kuachia EP ya Mziki wa Singeli

[Picha: Manfongo Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Wakati mziki wa Singeli unaendelea kupata umaarufu nchini Tanzania, msanii Man Fongo ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ataajumuisha wimbo mmoja wa Bongo fleva.

Pata Ubashiri wa Mechi Kati ya Real Madrid na Chelsea 

Kupitia kipindi cha Refresh kwenye Wasafi TV, Man Fongo amesema EP hiyo ina nyimbo tano na moja wa kibongo ambao amemshirikisha mwanamziki kutoka bendi ya msanii wa zamani wa bongo Banana Zoro.

Fungu la Leo Zaburi 118:14

"Nataka niachie EP, itakuepo na ngoma 5, ambayo moja ndiyo nitakuepo nimeimba bongo fleva nimeshirikisha ismail kutoka band ya banana Zoro," alisema Man Fongo.

Man Fongo ameeleza kuwa tayari ameshakamilisha baadhi ya nyimbo kutoka kwenye ‘EP’ yake lakini changamoto anayoipata ni wasanii wa kushirikishwa kutofika kwa wakati ili kuikamilisha.

Soma Pia: Muziki wa Singeli Tanzania: Kwa Nini Singeli Haitambi Kama Bongo Fleva?

Man Fongo kwa sasa anasifiwa kama msanii mkubwa wa singeli na amepata fursa ya kufanya kazi na wasani wengine wa Tanzania kama vile msanii wa zamani Chidi Benz, Fenne Bee miongoni mwa wengine.

Ana mziki kama vile Hainanga Ushemeji, Sio Poa na Hauna Kila kitu.

Hii itakuwa ndiyo "Ep" ya kwanza kiujumula kwenye muziki wa singeli nchini pindi itakapoachiwa rasmi.

Vile vile atakua miongoni mwa wasanii wa Singeli wanaong’ang’ana kusukuma mziki huu kupewa hadhi yake ya awali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya mziki.

Wakati mziki wa Singeli unaendelea kupata umaarufu nchini Tanzania, msanii Man Fongo ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ataajumuisha wimbo mmoja wa Bongo fleva.

Kupitia kipindi cha Refresh kwenye Wasafi TV, Man Fongo amesema EP hiyo ina nyimbo tano na moja wa kibongo ambao amemshirikisha mwanamziki kutoka bendi ya msanii wa zamani wa bongo Banana Zoro.

"Nataka niachie EP, itakuepo na ngoma 5, ambayo moja ndiyo nitakuepo nimeimba bongo fleva nimeshirikisha ismail kutoka band ya banana Zoro," alisema Man Fongo.

Man Fongo ameeleza kuwa tayari ameshakamilisha baadhi ya nyimbo kutoka kwenye ‘EP’ yake lakini changamoto anayoipata ni wasanii wa kushirikishwa kutofika kwa wakati ili kuikamilisha.

Man Fongo kwa sasa anasifiwa kama msanii mkubwa wa singeli na amepata fursa ya kufanya kazi na wasani wengine wa Tanzania kama vile msanii wa zamani Chidi Benz, Fenne Bee miongoni mwa wengine.

Ana mziki kama vile Hainanga Ushemeji, Sio Poa na Hauna Kila kitu.

Hii itakuwa ndiyo "Ep" ya kwanza kiujumula kwenye muziki wa singeli nchini pindi itakapoachiwa rasmi.

Vile vile atakua miongoni mwa wasanii wa Singeli wanaong’ang’ana kusukuma mziki huu kupewa hadhi yake ya awali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya mziki.

Leave your comment