Nyimbo za Injili za Kiswahili Kwenye Mdundo (Pakua bila Malipo)
23 March 2021
Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram
Furahia mziki wa injili kutoka Afrika yote. Huu ni mchanganyiko wa nyimbo kutoka dhehebu tofauti kama vile za kanisa Katoliki, Kiprotestanti, Adventisti na nyimbo zingine anuwai ya injili ya kisasa. Kwaya ya Arusha, Sinachi, Rose Muhando nid baashi ya wasanii walihusishwa kwenye mixtape hii.
Mtindo wa rhumba ukichukua kipaumbele, Christina Shusho anajulikana kwa kuachia nyimbo nzuri zaidi za Kiswahili barani Afrika. Mixtape hii pia inaangazia wasanii wengine kama vile injili kama Eunice Njeri, Kambua, Willy Paul kutoka Kenya. Ubora wa wa Christina ikidumishwa na wimbo wake “Nipe Macho Nione”, Thamani ya wokovu na Ning'are.
Mchanganyiko huu unaweka pamoja vibao vya kizazi kipya vya injili. Mitindo ya injili isiyo ya kawaida kama dancehall, hiphop, afrobeat zote zinajumuishwa humu. Hivyo valia viatu vyako vya kucheza kwani mchanganyiko huu una wasanii kama vile Sinachi, Jabidi, Guardian Angel, Bahati, Manolo na Moji Short Baba.
Leave your comment