Mdundo Mixes: Mixtape Tano Zinazovuma Nchini Tanzania (Pakua bila Malipo)
23 March 2021
Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram
Imedhaminiwa na Guinness Smooth
Mix ya DJ Lyta 2021 Mix inaangazia ushirikiano mzuri ulioko bongo na nje ya Afrika. Huu ni mchanganyiko maalum uliochanganywa katika mitindo tofauti kama vile dancehall, bachata hadi afrobeat. Mixtape hii inaleta pamoja wanamziki wakubwa barani kama vile Diamond Platnumz, Harmonize, Tanasha Donnah, Lady Jaydee miongoni mwa wengine.
Katika mixtape hii DJ Bee ameweka pamoja wasanii bora wa kike kutoka Tanzania na wengine kutoka nchini Kenya na Nigeria. Aki dada hawa ni kama vile.Number One - Nandy Ft. Joeboy, PAH - Nameless Ft. Darassa, Unanikoleza - Wini Ft. Aslay, Sugua - Jux na nyinginezo.
DJ Bee anaturudisha nyuma na kutuchezea mfano bora wa nyimbo za mapenzi za bongo kutoka zamani kuanzia mwaka wa 2014. Kupitia mixtape hii paakua mziki wa wasanii tajika wa Bongo kama Diamond, Rich mavoko, Vanessa Mdee, Jux na wengineo.
Furahia Bongo asili kutoka kwa wasanii wa ngazi ya juu wa bara la Afrika Mashariki na ushirikiano ndani ya eneo hili. Khaligraph Jones, Otile Brown, Masauti, Diamond, Harmonize ni baadhi ya wasanii waliohusishwa kwenye mchanganyiko huu.
Huu ni Mziki bora wa kuburudika kutoka Bongo. Mchanganyiko huu wa mziki unahusisha sana na starehe au tamasha za usiku. Wasanii husika katika mixtape hii ni kama vile Darassa, Ben Pol, AY, Diamond miongoni mwa wengine wengi.
Leave your comment