NEW SONGS ALERT

Ndungu zangu watu wangu wa nguvu always tupo pamoja wanangu kinoma noma nafurahi kwanza kuwataarifu tarhe 20 ya march hii nitawapa nyimbo mpya lakini pia kama zawadi yangu kwenu kwa upendo wa dhati tangu 2016 nilipoweka nyimbo yangu ya kwanza humu nitatoa nyimbo zingne mbili na video mbili zinakuja baada ya nyimbo hivo mnawe mikono kabsa chakula ndio hiki nawatengea

Leave your comment