ashu dogo upo nbali sana behind the scenes

nimekuwa na changamoto mingi kabisa coz hiyo siku ya kerekodi unapata kuwa mvua inanyesha so unapata hatuna nyakati za kurekodi pia unapata umetrain na mdhaa then ikifika hyo time ya shooting wengine zi hauwec kuwapata so that creates a very hard time

Leave your comment