BAB SODY AACHILIA MPINI MPYA" SHOW DEM"

Msanii mkali kwa jina BAB SODY ameachilia ngoma mpya kwa jina SHOW THEM.Ngoma hiyo iliyoundwa QUALITY MEDIA STUDIO ndani ya DIANI -SOUTH COAST chini ya produsa J INK.Kazi hii inaendelea kupokelewa vizuri mitandaoni.Mpini huu style ya Afro dance huenda ukafanya vyema sababu umekaliwa na produsa kwa umakini mkubwa.Ukitaka kuisikia ipate hapa 

https://www.youtube.com/watch?v=PDs9Ms1_UgA .Video

ya SHOW DEM inashughulikiwa kwa sasa na huenda ikawa tayari mwezi ujao.Staa huyu anayekuja kwa moto mkali anaomba support toka kwa mafans mumpe kwa sana. Tunamuombea mafanikio kwenye kazi zake.

Leave your comment