NEW SONG

Msanii David Okila almarufu Kama Lq Daweed amedondosha nyimbo mpya akimshirikisha Senior B kwa jina "Umenichanganya" wasanii Hawa wawili waliweza shirikiana pia kwa wimbo mwingine kwa jina "Chozi" chini ya Jah sound production producer junior B.

Leave your comment