Rudi

Hili ngoma nililifanya kwa jili ya uchungu niliopata tangia niujue mapenzi na kwamba japo nilitendwa Ila kumpenda nampenda sana na Hanna waku uchukua nafasi kama alivyo yy hili ni tukio LA kweli maishani.nakwamba hutendeka so kwaiyo niliufanya huu wimbo nikiwa na aim yaku wapatanisha watenganao na wapendanao.

Leave your comment