New stories about Bechuu Honex Artist from Tanzania

Bechuu Honex ni msanii ambaye kavuma kwa kasi kubwa ndani ya mda mfupi tu ambapo alitoa ngoma yake mpya ijukanayo kwa jina LA Surprise ambapo alijitahidi kufanya ngoma hiyo kwa umakini na ufundi wa juu zaidi na kuwakosha roho wadau na wafuatiliaji wa Mziki nchini na ana malengo ya Kufanya kazi zitakazo kubalika Dunian Kote na kufanya Collaboration na wasaniii wakubwa alio wakuta kwenywe game hii ya Mziki.

Pata ngoma hiyo mpya bofya link chin

Leave your comment