'CHAPOMBE' YA T CONTROL YAWAPAGAWISHA WALEVI TANDALE

Msanii mkali wa Singeli anayekuja kasi kitaani tokea pande za Tandale uwanja wa Fisi, T Control ambaye sasa anatamba na ngoma yake ya KAINAMAJE? Leo hii tena ameachia ngoma mpya iitwayo 'Chapombe' na kupokewa kwa shangwe zote kila kona ya Tandale, kwenye mabar na vilabu hususani pande za uwanja wa fisi.
Kila aliyeisikia ngoma hiyo alionesha kuikubali na haswa walevi.

Unaweza mfollow King T Control kwwa akaunti za Instagram na Facebook.
Vilevile Subscribe channel ya Youtube @ King TControl kujionea video mbalimbali za mkali huyu aliyepania kufanya magauzi ya burudani Bongo kupitia mziki wa Singeli.

Leave your comment