NEW VIDEO (TANZANIA): Mwasiti ft Bill Nass – Bado

Msanii wa muziki Bongo, Mwasiti ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Bado’ ambayo amemshirikisha Bill Nass, video imeongozwa na Joowzey. Itazame hapa:

https://www.youtube.com/watch?v=5eC2wAafRTY

Source: bongo5.com

Leave your comment