KISSA RAPA NGOMA KALI

msanii wa hip hop kissa rapa haaid mashabiki wake kufanya ngoma kali sana na msanii wa kenya mkali sana ambae ni best rapa na asema kwamba anawapa nafasi shabiki wake kuchagua rapa ambae ataweza kusimama na kissa rapa beat moja

Leave your comment