SIWAPENDI

Msanii wa kizazi kipya exavery ndauka malufu kama KISSA RAPA amesema kuwa awapendi wasanii ambao wanaiga staili za wenzao ili kupata umaalufu kweny tasnia ya muziki.Hivyo amewashauli wasanii wote ambao wanaiga miondoko ya wenzao wawe wabunifu

Leave your comment