finebeez atarajia kutoa single yake ya kwanza mwisho wa mwezi hiu

msanii under ground finebeez mwisho mwa mwezi huu anatarajia kuja na single yake ya kwanza itakayomtambulisha kwenye game ya rap hivyo tukae tayar kumpokea na kumfanya afike mbali zaidii hayo ameyasem mwenyew finebeez

Leave your comment