Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Patoranking Aonyesha Picha ya Video Aliyofanya na Diamond
24 August 2017

Patoranking kutoka Nigeria ameendelea kuwatamanisha mashabiki kuhusu ngoma yake mpya aliyofanya na Diamond Platnumz.
Msanii huyo ameweka picha kwenye mtandao wa Instagram, akiwa na hitmaker huyo wa Eneka, ambayo inaonyesha ni moja ya kipande kitakachoonekana kwenye video ya wimbo huo.
“World Best x Simba “LOVE YOU DIE” 1st Sept 2017 #LoveYouDie #Skylevel,” ameandika Patoranking kwenye picha aliyoiweka katika mtandao huo.
Wimbo huo unatarajiwa kutoka Septemba 1 ya mwaka huu.
Source: bongo5.com
Weekly Top 10 songs
Top stories
- JORO STARR ft. APPY- LOVE ME AGAIN
01 September
- Money is a new song in the album “ Black Maria “
02 September
- GOD BLESS
01 September
- JORO STARR ft. ANGEL NYIGU -- LIFT ME UP
01 September





Leave your comment