NEW MUSIC (TANZANIA): Dayna Nyange – Chovya

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Komela, msanii wa Bongo Flava Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Chovya’, video imeongozwa na Kwetu Studio.

 

Source: bongo5.com

Leave your comment