New Video (TANZANIA): Rama Dee – Kwa Akili Yangu

Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Rama Dee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Kwa Akili Yangu’ ikiwa na baada ya kufanya vizuri na ngoma ya Nibebe. Video ya ngoma hii imeongozwa na Joowzey.

 

Source: bongo5.com

Leave your comment