Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Afrika Mnafanya Hip Hop Nzuri – Rapa Future
24 July 2017

Rapa kutoka Marekani, Future amesema Hip Hop inayofanywa na Wasanii wa Afrika ni nzuri kwani inawavutia wasanii wengi wakubwa wa Marekani kuisikiliza.
Future amesema Hip Hop ya Afrika inaelezea uhalisia wa Mazingira ina’sound nzuri pia hata midundo yake inavutia kuisikiliza.
"Hip Hop ya Afrika inasound vizuri sana inavutia kuisikiliza kwani imejaa ubunifu na huwa naingia studio kusikiliza midundo yake kuona kama ninaweza kufanya kitu", amesema Future.
Hata hivyo, Rapa Future baada ya kunogewa na midundo ya kiafrika amethibitisha kuwa tayari amefanya kolabo na WizKid kutoka Nigeria.
Source: bongo5.com
Weekly Top 10 songs
Top stories
- JORO STARR ft. APPY- LOVE ME AGAIN
01 September
- Money is a new song in the album “ Black Maria “
02 September
- GOD BLESS
01 September
- JORO STARR ft. ANGEL NYIGU -- LIFT ME UP
01 September





Leave your comment