NEW MUSIC (TANZANIA): Diamond Platnumz – Eneka

Diamond Platnumz ameendelea kuachia ngoma mfululizo. Muimbaji huyo kutoka WCB ameachia wimbo wake mpya ‘Eneka’ ambao mdundo wake umetayarishwa na producer Lizer kutoka Studio za Wasafi Records. Usikilize hapa chini:

 
Source: bongo5.com

 

Leave your comment