Clever SMK yupo jikoni akipika track mpya!

Msanii anayejulikana kwa jina la Clever Spitter Mahiri Kazini(SMK), Anasema sasa yupo bize studio akirekodi nyimbo zake mpya chini ya producer wake Santana Flames, "Ratiba yangu inaonesha kua mwezi wa julai ntaachia wimbo mpya kuhusu ni wimbo upi utafuata naomba wananchi wa afrika mashariki wanifuate IG, Facebook, na Twitter kwa jina la Clever_SMK Kwa updates zaidi" alisema Clever SMK.

Leave your comment