Video ya Unaitwa Nani iko tayari

Video ya wimbo Unaitwa nani ulioimbwa na wasanii
D Baba, Billnass na K Zoo the Finest iko tayari.
Inapatikana Youtube kwa link https://youtu.be/_stHghyZLt0
Karibu ujionee mwenyewe vijana walivyopania kuleta mapinduzi ya mziki Afrika na dunia nzima.

Leave your comment