Kaploti mwenyewe baba yangu

NEW MUSIC ALERT!!!! BABA YANGU NEW ONE TO CELEBRATE OUR DADS!!
PLEASE DOWNLOAD ON THE LINK BELOW..ITS FREE N GET TO HEAR HIP HOP/COUNTRY..BY YOURS TRULLY.

BABA YANGU.....1ST VERSE:

baba yangu,
aliaga lakini najua kushoto kulia,yuko tu na malaika.
alinifunza jinsi ya kuwajibika.
akanipa tactics za kujitafutia na kutafutia familia yetu mbesa!!
hakuna kitu poa kama mtoto,
kusema aah huyu ndio baba aah!
Eeh ukipenda bazenga!!!
eh mama yangu alinibeba miezi tisa asante sana.
lakini baba alichangia job ya kua creator,nashukuru tena sana..
thats why naheshimu yeye kua father figure,
ingawa alikua mtu kutoa lock,
hio kwangu haingefanya nimkosee heshima.babako ni babako.
hata awe bila melanin albino!!!

Leave your comment