NEW MUSIC: Ben Pol Katuletea Single Mpya ‘Tatu’ ft Darassa

Mwimbaji Ben Pol amerudi kwenye headlines za burudani ambapo leo May 24, 2017 ametuletea hii single yake mpya iitwayo ‘Tatu’ akimshirikisha staa mwingine wa Bongofleva Darassa. Unaweza kuchukua time yako kuisikiliza hapa chini mtu wangu:

Source: millardayo.com

 

Leave your comment